February 20, 2016



Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire alisema timu yake itarejea Ligi Kuu Bara, kweli imekuwa hivyo.

Lakini hiyo haijamzuia kuungana na mashabiki wa Yanga na Simba kwa ajili ya Kariakoo Derby kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.


Masau ameungana na mashabiki wa Yanga na Simba eneo la Buruguruni kwa wao wameonyesha upendo kwa kuwa pamoja. Basi naye akajumuika nao kama unavyoona kwenye picha.

“Wao wameonyesha soka ni ushindani uwanjani lakini upendo unatangulia. Ni Simba na Yanga wanaopendana na kuheshimiana. Nami nimeungana nao,” alisema.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic