Mwamuzi wa pambano kati ya Mtanzania Francis Cheka na Mserbia, Gerard Ajetovic aitwaye, Eddie Marshall amewasili jijini Dar es Salaam, leo. Pambano hilo litapigwa Jumamosi na kila bondia ametamba kushinda.
Pamoja na mwamuzi huyo, Rais wa WBF Africa, Howard Golberg (katikati) naye amewasili tayari kushuhudia pambano hilo. |
0 COMMENTS:
Post a Comment