Mtanzania, Thomas Ulimwengu amekusanya kikombe kingpin kikubwa baada ya TP Mazembe kubeba ubingwa Caf Super Cup.
TP Mazembe imeitwanga Etoile du Sahel kwa mabao 2-1 kwenye uwanja wake mini Lubumbashi, DR Congo na kubeba ubingwa huo.
Kwa Ulimwengu, hilo linakuwa kombe kubwa la pili ndani ya miezi miwili baada ya kuingoza TP Mazembe kubeba ubingwa wa Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria.
Kwa jana, TP Mazembe watalazimisha kumshukuru mshambuliaji Daniel Nii Adjei raia wa Ghana aliyetupia bao zote mbili.








0 COMMENTS:
Post a Comment