February 11, 2016



Bado hali si shwari kwa Kocha Gary Neville licha ya timu yake kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Barcelona iliyocheza bila safu yake yote ya washambuliaji nyota Lionel Messi, Neymar na Luis Suarez.

Sare hiyo inaifanya Barcelona imesonga mbele kwenye Copa de Rey kwa jumla ya mabao 8-1. Hali inayofanya Neville na mdogo wake Phil Neville ambaye ni msaidizi wake kuwa kwenye presha kubwa zaidi na sasa wanaelekea mlango wa kufukuzwa.

Mashabiki wa Valencia wamekuwa wakishinikiza makocha hao wawili Waingereza watimuliwe. Baadhi wamekuwa wakisusa kwenda viwanjani.

VALENCIA: Domenech Sanchez, Nunes Vezo, Diallo, Santos, Gaya Pena, Barbosa da Silva, Zahibo, Mina Lorenzo (Andre Gomes 71), Villalba Rodrigo (Salvador Edu 80), Piatti, Negredo (Bakkali 60)
Subs not used: Abdennour, Ryan, Carbonell Gil, Caballo
Goal: Negredo 39
Bookings: Diallo, Gaya Pena, Salvador Edu
BARCELONA: Ter Stegen, Vidal Parreu, Bartra, Mathieu, Adriano (Pereira dos Santos 76), Samper, Vermaelen, Sergi, El Haddadi, Rakitic (Camara Mesa 76), Ramirez (Kaptoum 82)
Subs not used: Masip, Gumbau, Romera Andujar, Alena
Goal: Kaptoum 84
Bookings: Samper, El Haddadi
Referee: Carlos Velasco Carballo.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic