Huyu ndiye baba wa soka la kisasa, Johan Cruyff amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka minane.
Cruyff amefariki huku Tanzania ikiwa ndiyo nchi yake ya mwisho kuitembelea barani Afrika alipokuja mwaka jana na kikosi cha wakongwe wa Barcelona.
Gwiji huyo wa Ajax, Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa.
REKODI ZAKE MUHIMU..
MCHEZAJI:
Ajax (1964-73) – mechi 240, mabao 190
Barcelona (1973-78) – mechi 143, mabao 48
LA Aztecs (1979-80) – mechi 23, mabao13
Washington Diplomats (1980-81) – mechi 30 mabao 12
Levante (1981) – mechi 10, mabao 2
Ajax (1981-83) – mechi 36, mabao 14
Feyenoord (1983-84) – mechi 33, mabao 11
Holland (1966-77) – mechi 48, mabao 33
AKIWA KOCHA:
Ajax (1985-88)
Barcelona (1988-96)
Catalonia (2009-13)
Hivyo wewe mwandishi ni kweli huyu gwiji la futiboli amefariki akiwa na umri wa miaka minane?
ReplyDelete