March 15, 2016




Pamoja na kikosi chao kutokuwa katika mwenendo mzuri sana, hiyo haijaizuia Manchester United kukaa kimkao wa kibiashara.

Juzi imeingia mkataba na kampuni kubwa ya kuuza mafuta na vilainishi ya Gulf International.

Wachezaji wake wameonekana wakiwa wamebeba moja ya vilainishi vya kampuni hiyo baada ya mkataba huo.


Pamoja na fedha, lakini United inaamini matangazo ya kampuni hiyo yataisaidia kuongeza mashabiki zaidi barani Asia ambako sasa inaelezwa ina mashabiki zaidi ya milioni 320.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic