March 15, 2016


Kipa wa Barcelona, Claudio Bravo amepokea pongezi kutoka kwa mkongwe Rene Higuita raia wa Colombia baada naye kuokoa kwa staili ya Scorpion Challenge.


Bravo alifanya hivyo Barcelona ikiwa mazoezini, akaitupia picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ambako Higuita alimpongeza.

Higuita aliokoa wakati wa Kombe la Dunia mwaka 1990 na kuweka alama ya ukoaji kuwa mali yake maarufu kama "Scorpion Challenge".

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV