March 10, 2016


PSG imeonyesha kweli msimu huu iko makini na Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuitwanga Chelsea kwa mabao 2-1 ikiwa nyumbani kwao Stamford Bridge, London.

Ushindi huo wa mabao 2-1 unakuwa wa pili baada ya PSG kushinda kwa idadi hiyo katika mechi ya kwanza jijini Paris. Sasa imesonga mbele kwa mabao 4-2 na shujaa anaonekana ni mshambuliaji nyota na mkongwe, Zlatan Ibrahimovich aliyepiga bao moja katika mechi. 

CHELSEA (4-2-3-1): Courtois 6; Azpilicueta 6.5, Ivanovic 6.5, Cahill 6.5, Kenedy 7.5; Mikel 6.5, Fabregas 7; Pedro 6.5, Willian 7.5, Hazard 7 (Oscar 77mins, 6); Costa 7.5 (Traore 60, 6)
Subs not used: Begovic, Baba, Remy, Matic, Loftus-Cheek
Goal: Costa 27
Booked: Fabregas, Mikel, Ivanovic 
PSG (4-3-3): Trapp 7; Marquinhos 6.5, Thiago Silva 6.5, Luiz 6.5, Maxwell 6.5; Rabiot 6.5, Thiago Motta 7, Matuidi 7 (Van der Wiel 87, 6); Di Maria 7.5 (Cavani 82, 6), Ibrahimovic 8.5, Lucas 6.5 Moura (Pastore 77, 6)
Subs not used: Sirigu, Stambouli, Kurzawa, Augustin
Goal: Rabiot 16, Ibrahimovic 67
Booked: Rabiot, Motta, Matuidi 
Referee: Felix Brych (Germany) 6.5
Attendance: 37,591 
Match ratings by Sami Mokbel 











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic