March 24, 2016


Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Juventus, Giuseppe Marotta amesema watapambana kwa kila njia kumbakiza mshambuliaji wao  Álvaro Morata.

Morata ambaye alitua Juventus akitokea Real Madrid kama mmoja wa wachezaji kinda na wasio na umaarufu wowote, sass ni tegemeo na tishio kwa mabeki wanaokutana na Juventus.

Moratta amesema Juventus inamhitaji zaidi na watafanya njia zote kuhakikisha anabaki. Hata hivyo hakufafanua zaidi njia hizo watakazozitumia.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic