Si unakumbuka enzi za Jackson Mayanja wakati akikipiga kwao Uganda na baadaye Uarabuni. Sasa basi angalia picha hizi akionyesha yake.
Mayanja aliamua kuwaonyesha vijana wake kwamba “bado wamo” wakati wa mazoezi ya Simba kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
0 COMMENTS:
Post a Comment