March 24, 2016


Rais wa Marekani, Barrack Obama amesema mabinti zake wawili, Malia na Sasha walitaka sana kukutana na mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi.

Obama amesema hata hivyo hakufanikiwa kufanya utaratibu wowote kuhusiana na hilo.



Akasema watoto wake walifanikiwa kukutana na Manu Ginobili, mchezaji kikapu Muargentina anayekipiga katika timu ya mpira wa kikapu ya San Antonio Spurs inayoshiriki NBA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic