PICHA ZA DK CARNEIRO AREJEA TENA UWANJANI KUSHUHUDIA MECHI TIMU YAKE IKICHAPWA 5-0 Dk Eva Carneiro alirejea tena katika mambo ya soma baada ya kutua katika nchi yake ya asili ya Gibraltar ambayo ’ilichapwa kwa mabao 5-0 dhidi ya Latvia. Angalia picha za daktari huyo wa zamani wa Chelsea akiwa uwanjani.
0 COMMENTS:
Post a Comment