March 22, 2016


Hii sasa shida, ni baada ya mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kufunguliwa kesi na kampuni ya udalali kutoka Italia ambayo inamdai fidia ya pauni million 7.8 kwa madai ya kuichafulia jina.

Lakini wakati kampuni hiyo ikifikia uamuzi huo kw akufungua kesi katika mahatma ya jiji la Madrid, mmoja wa maofisa wa mahatma hiyo amefichua siri kwamba Ronaldo amegawa nyumba take ya kifahari ya jijini New York, Marekani kwa mwanamasumbwi Badr Hari raia wa Morocoo.


Hari ndiye alihusishwa na Ronaldo na vitendo vya kishoga kutokana na picha zao walizokuwa wamepiga wakila raha.

Lakini mmoja wa watendaji wa kampuni ya Proto Enterprises iliyofungua kesi, amesema Ronaldo aligawa nyumba hiyo kwa mshikaji wake kama zawadi!


1 COMMENTS:

  1. Jamaa kala raha na nyumba kahongwa,chezea arab wewe!

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV