April 14, 2016


Wakati mkoa wa Mbeya ukiwa na timu mbili za Ligi Kuu Bara. Bahati nyingine ni kupata Mkuu wa Mkoa, Amos Makalla ambaye ni mpenda michezo.

Makalla, nahodha wa zamani timu ya Bunge, sasa anajidai tu na uzi wa timu za mkoani kwake, hasa Mbeya City.


Angalia akiwa ndani ya uzi wa Mbeya City chini ya udhamini wa RB Battery, Makalla amendika jina lake kabisa.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya anajua hasa ukimkuta katika kiungo cha ukabaji.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV