TASWIRA TATU MR BLUE AKIFUNGA NDOA NA WAYDAH.... Msanii wa kizazi kipya, Sameer Kheri maarufu kama Mr Blue amefunga ndoa. Mr Blue amefunga ndoa na Waydah ambaye tayari wamezaa naye watoto wawili, mmoja wa kiume na mwingine wa kike. Kila la kheri katika maisha ya ndoa “Man from Micharazo”.
0 COMMENTS:
Post a Comment