April 26, 2016
Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekutana na 'majanga' akiwa kazini baada ya surali yale kuchanika kw akiwango kikubwa hadi kusababisha nguo yake ya ndani kuonekana.


Nguo hiyo ilichanika wakati Zidane akiwa katika benchi akijaribu kuwaelekeza vijana wake. Ile rusha mguu, rusha mkono mara suruali ndiyo hivyo tena.

Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeisha kwa sare ya bila bao huku Madrid waliokuwa ugenini Etihad wakitawala zaidi mchezo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV