April 27, 2016Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kinatarajiwa kufanyika Jumapili, Mei Mosi 2016 jijini Dar es Salaam.

Kamati hiyo ya Nidhamu itapitia mashauri mbalimbali yaliyowasilishwa.  Wafuatao kesi zao sitasikilizwa katika kikao hicho:

(i)  John Bocco – Azam FC
(ii) Shomari Kapombe – Azam FC
(iii) Aishi Manula – Azam FC
(iv) Amissi Tambwe – Yanga SC
(v) Donald Ngoma  - Yanga SC
(vi) Paulo Jinga – JKT Rwamkoma FC
(vii) Kipre Tchetche – Azam FC
(viii) Abel Katunda – Transit Camp
(ix) Zephlyn Laurian – JKT Rwamkoma FC
(x) Idrisa Mohamed – JKT Rwamkoma
(xi) DR. Mganaga Kitambi (Daktari) – Coastal Union
(xii)  Herry Chibakasa – Friends Rangers
(xiii) Ismail Nkulo – Polisi Dodoma
(xiv) Said Juma – Polisi Dodoma
(xv)  Idd Selaman – Polisi Dodoma
(xvi) Edward Amos – Polisi Dodoma
(xvii) Stewart Hall (Kocha)– Azam FC


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV