April 27, 2016

ALFRED LUCAS 'MAPS'

Shirikisho la Sola Tanzania (TFF) limemteua Alfred Lucas kuwa Ofisa Habari na Mawasiliano mpya wa shirikisho kuanzaia leo Aprili 27, 2016.

Alfred anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto aliyehamishiwa katika Kurugenzi ya Mashindano kuwa Afisa Mashindano na Meneja wa Mifumo pepe ya Usajili (TMS).

Alfred ana uzoefu kutoka vyombo mbalimbali alivyovitumikia kama mwandishi  akiwa Bingwa na Dimbana baadaye Mhariri wa Sayari.

Kadhalika Alfred kitaaluma amesomea uandishi wa habari, uhusiano wa kimataifa na diplomasia pamoja na lugha.
Mawasiliano ya Afisa Habari,
Alfred Lucas:

Namba ya simu: 0769 088111

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV