KATIKA TASWIRA; NAMNA MTITI WA TOTO VS YANGA ULIVYOKUWA LEO KIRUMBA MWANZA Yanga imeshinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Toto African ikitokea nyuma na kusawazisha kabla ya kuongeza bao jingine. Mechi hiyo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, haikuwa lelemama. Cheki mtiti ulivyokuwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment