KAZI NA DAWA MWANANGU, ANGALIA KANE ANAVYOKULA 'MIBATA' HARRY KANE NI MSHAMBULIAJI HATARI WA SPURS. LAKINI AKIPATA WAKATI ANAKULA BATA PIA HUKU AKIWA NA MAJUKUMU YA MECHI TANO ZA UBINGWA AMBAZO SPURS INATAKIWA KUSHINDA ILI IWE BINGWA AU KUCHEZA LIGI YA MABINGWA ULAYA. MECHI ZILIZOBAKI ZA TOTTENHAM: Stoke v Tottenham Mon 18 Apr Tottenham v West Brom Mon 25 Apr Chelsea v Tottenham Mon 2 May Tottenham v Southampton Sun 8 May Newcastle v Tottenham Sun 15 May
0 COMMENTS:
Post a Comment