April 23, 2016


Liverpool imetangaza kumfungia kwa miezi sita beki wake tegemeo, Mamadou Sakho kwa madai ya kupatikana na hatia ya kutumia madawa yasiyoruhusiwa michezo.

Sakho ,26, alichukuliwa vipimo baada ya mechi la Kombe la Europa chini ya Manchester United iliyopigwa Machi 17 na kuisha kwa sare ya 2-2 huku Sakho akifunga bao moja.

Imeelezwa aina ya dawa alizotumia baadhi ni zeile ambazo hutumika kupunguza uzito lakini zimekuwa na vimelea vya kuongeza nguvu za ziada.

2 COMMENTS:

  1. Your totally wrong Sakho hajafungiwa miezi sita soma vizuri statement ya Liverpool na UEFA. Swala lake bado lipo under investigation na anatakiwa kufanyiwa kipimo kingine next week jumanne kwahiyo kwa taratibu za UEFA na hata Liverpool mchezaji hatakiwi kufungiwa anaruhusiwa kucheza mpaka uthibitishwe kweli alitumia hiyo dawa. hivyo basi kwa busara za Liverpool kulifanyika kikao kati ya mmmliki, kocha na mchezaji mwenyewe na kukubaliana kwamba niafadhari asicheze mpaka swala lake litakapothibitishwa. hivyo hakuna sehemu yoyote kwenye hiyo statement imeandikwa amefungiwa miezi 6 unless kama to understand English is an issue. ndio maana mna misleading everytime.

    ReplyDelete
  2. Liverpool FC club statement




    Yesterday, Friday 22nd April 2016, a formal communication was received from UEFA stating that they are investigating a possible anti-doping rule violation by Mamadou Sakho.





    The player will respond to UEFA on the matter.

    The player is currently not subject to any playing suspension. However, the club, in consultation with the player, has decided that while this process is followed the player will not be available for selection for matches.

    There will be no further comment at this time.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic