April 23, 2016


Kweli kazi ya Rais John Pombe Magufuli inakubalika, si hapa tu Tanzania, hata nchi jirani.

Safari hii Kenya wamekuwa wa kwanza kumkaribisha Magufuli kupitia michezo wakionyesha kukubali kazi yake.

Wanachama wa klabo kongwe ya Kenya, Gor Mahia wamefungua tawi la Magufuli.


Hii ni sehemu ya kuonyesha namna kazi za Rais wa Tanzania na serikali yake zinavyokubalika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV