April 23, 2016


Baada ya ushindi wa bao 8-0 dhidi ya Derpotivo La Coruna, Barcelona inaonekana sasa imepania kweli kufanya inachotaka.

Imeendelea kutoa vipigo baada ya kuitwanga Sporting Gijon kwa mabao 6-0 ilipotembelea Camp Nou, leo.


Mshambuliaji Luis Suarez aliyefunga mabao manne walipoitwanga Derpotivo Lmabao 8-0, leo amepita manne tena, mawili akiwa ameupia kwa mikwaju ya penalti.Lionel Messi akafunga sambamba na Neymar hivyo kufanya makali ya MSN kurejea kwa mara nyingine huku Barcelona 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV