BREAKING NEWS: JUMA ABDUL WA YANGA AWA MWANASOKA BORA WA MWEZI WA KUFUNGA LIGI Ligi Kuu Bara inafikia tamati leo, wakati huo, beki wa kulia wa Yanga, ndiye anafunga pazia la wachezaji bora. Juma Abdul ndiye ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa Aprili. Punde tutawaletea kwa urefu zaidi. www.salehjembe.blogspo.com
0 COMMENTS:
Post a Comment