Rais wa Fifa, Gianni Infantino ameipongeza Yanga kutokana na hatua iliyofikia ya kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara.
Yanga imekuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza hatua ya makundi au robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho iliyo chini ya Shirikisho la Soka la Afrika (Caf).
Hivi punde, tutawaletea taarifa kamili kuhusiana na hilo.
0 COMMENTS:
Post a Comment