May 8, 2016


Pamoja na Amir Khan kutamba anataka kuzipeleka ngumi za Uingereza mbali, hiyo imeshindikana.

Khan amekutana na kipigo kikali kwa kutwangwa kwa KP katika raundi ya sita.

Aliyefanya hivyo ni boandia mbishi huenda kuliko wote, Saul 'Canelo' Alvarez raia wa Mexico.

Canelo amepoteza pambano moja tu dhidi ya Floyd Mayweather ambaye hajawahi kupigwa.


Jana Canelo alionekana amepania kushinda na mara nyingi ngumi zake ziliwaamsha mashabiki waliojitokeza jijini Las Vegas kushangilia kwa nguvu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV