May 4, 2016


Kocha Jose Mourinho ameipongeza Leicester City kwa kubeba ubingwa ‘wake’.

Leicester City ndiyo mabingwa wapya wa Ligi Kuu England.

Mourinho ambaye aliondoka Chelsea akiwaacha wakiwa mabingwa watetezi baada ya kuwasaidia kubeba ubingwa huo, amesema amefurahishwa na kazi ya Leicester inayoongozwa na Kocha Claudio Ranieri.


Kwa mazungumzo ya Mourinho, anaonyesha kama angeendelea kubaki Chelsea na wachezaji wasingemsaliti, alikuwa na uhakika wa kuutetea tena ubingwa huo kwa mara nyingine.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV