May 16, 2016


Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athumani Iddi Machuppa, sasa anaishi nchini Sweden ambako anaendesha maisha yake.

Pamoja na uwezo mkubwa kisoka enzi zake, Machuppa ameonyesha ana uwezo wa mapishi anapokuwa jikoni.

Machuppa ametupia picha mtandaoni akionyesha namna alivyom mkali katika mapishi mbalimbali.

Hii ni kuonyesha kwamba hawezi kulala njaa hata kama hakuna wa kupika kwa ajili yake nyumbani.


Lakini swali, kwani Machuppa hana wife au mchuchu? Lakini inawezekana ameamua wasaidiane ambalo zuri. Zaidi atatuambia mwenyewe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV