May 19, 2016Kocha Mkuu wa Uganda 'The Cranes', Sredejovich Milutin 'Micho' ametangaza kikosi cha watu 21 kitakahocivaa Botswana katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika.

Katika wachezaji hao, Micho ameamua kuachana na Hamisi Kiiza ambaye msimu huu ameifungia Simba mabao 19. Badala yake amemchukua mshambuliaji kinda Lorenzen Melvyn  anayekipiga katika kikosi cha Werder Bremen cha nchini Ujerumani.

Micho ameachana na Kiiza huku akimuita Emmanuel Okwi ambaye anakipiga nchini Denmark.

Makipa: 
1. Onyango Denis - Mamelodi Sundowns-SA
2. Jamal Salim Magoola (El Merreikh-Sudan)
3.Odongkara Robert (Saint George-Ethiopia)

Mabeki:
4.Iguma Denis (Al Ahed-Lebanon)
5. Isinde Isaac (Saint George-Ethiopia)
6. Jjuko Murushid (Simba SC-Tanzania)
7. Waswa Hassan (Al Shorta-Iraq)
8. Ochaya Joseph (Kcca Fc -Uganda)

Viungo:
9. Azira Mike (Colorado Rapids-USA)
10. Aucho Khalid (Gor Mahia-Kenya)
11. Mawejje Tony (Thottur-Iceland)
12. Oloya Moses (Binh Duong-Vietnam)
13. Kizito Luwagga Wiliam (Feirense-Portugal)
14. Walusimbi Godfrey (Gor Mahia-Kenya) 

Mshambuliaji:
15. Miya Farouk (Standard Liege- Belgium)
16. Lorenzen Melvyn (Werder Bremen-Germany) 
17. Massa Geoffrey (Bloemfontein Celtics-SA)
18. Kasirye Davis (Rayon Sports-Rwanda)  
19. Okwi Emanuel (Sondyerske-Denmark)
20. Sekisambu Erisa (Vipers -Uganda)
21. Lubega Edrisa (Proline -Uganda)

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV