Ndani ya saa 48 zijazo, klabu ya Manchester United itamtangaza Kocha Jose Mourinho kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo.
Wakati Mourinho anatarajiwa kutangazwa, yeye anataka usajili wake wa kwanza uwe mshambuliaji mkongwe wa Sweden, Zlatan Ibrahimovich ambaye amemaliza mkataba wake na PSG ya Ufaransa.
Tayari kuna taarifa zinasema Ibrahimovic yuko tayari kujiunga na Man United lakini anataka kitita cha pauni million 8 na mshahara wa pauni 200,000 kwa wiki.
0 COMMENTS:
Post a Comment