May 20, 2016


Ilikuwa ni shangwe kila sehemu wakati Mabingwa wa Tanzania, Yanga wakirejea nyumbani baada ya kufanikiwa kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Wachezaji na mashabiki, walionekana kupagawa kwa furaha huku wakitamba kuanzia kwenye viwanja vya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, hadi barabarani wakiwasindikiza mashujaa wao.

Angalia mwenyewe....0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV