May 9, 2016Meneja Uhusiano wa StarTimes Tanzania, Muddy Kimwery (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza upataji wa haki za kuonyesha michuano ya Copa America moja kwa moja kupitia chaneli za michezo za StarTimes ambayo itafanyika nchini Marekani kuanzia Juni 3 mpaka Juni 26 mwaka huu. Kulia ni meneja maudhui wa kampuni hiyo Paulina Kimweri.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV