May 14, 2016Barcelona imechukua ubingwa wa La Liga baada ya kuitwanga Granada kwa mabao 3-0.

Mabao yote ya Barcelona yamefungwa na mshambuliaji mtukutu raia wa Uruguay, Luis Suarez.

Ushindi huo, unaipa Barcelona ubingwa kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya washindani wao wakubwa, Real Madrid ambao wameishinda Derpotivo la Coruna kwa bao 2-0, zote zikifungwa na Cristiano Ronaldo.

Granada: Fernandez 8, Lomban 5, Babin 5, Costa 5.5 (Doria 81mins), Lopes 5, Doucoure 4, Perez 4, Rochina 4.5 (Cuenca 46), Rico 4.5, Penaranda 5, El-Arabi 6 (Barral 77)
Subs not used: Biraghi, Marquez Moreno, Krhin, Fernandez Collado
Booked: Doucoure, Perez, Rico, Fernandez

Barcelona: Ter Stegen 7, Alves 7.5, Pique 7.5, Mascherano 7.5 (Mathieu 74), Alba 7.5, Busquets 6.5 (Sergi Roberto 88), Rakitic 6.5 (Arda 80), Iniesta 8, Messi 7.5, Suarez 9, Neymar 8
Subs not used: Rafinha, El Haddadi, Vidal, Masip 
Booked: Busquets, Pique
Goals: Suarez 22, 38, 86
Referee: Alejandro Jose Hernandez Hernandez

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV