May 19, 2016



Yanga wamesema kombe la ubingwa wa Tanzania Bara, "Ni la Mchina".

Uongozi wa klabu ya Yanga umebeba kombe la 26 na kusisitiza kuwa halina thamani ambayo linastahili.

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerrry Muro alisema Shirikisho la Soka Tanzania TFF na wadhamini wa ligi kuu hiyo, hivyo amewashauri kuboresha makombe yao watakayoyatoa kwenye misimu ujao.

“Lile kombe kwa kweli halina hadhi, lina michubuko kibao," alisema.

“Hivyo nawashauri TFF na wadhamini wetu wa ligi ni vema wakariboresha kombe hilo, pia ni lazima liwepo moja litakalofanana na siyo kubadilishwa kila msimu."

Kawaida, makombe ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara yamekuwa yakilalamikwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic