June 19, 2016
Kikosi cha Yanga kipo tayari kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria. Mechi hiyo itapigwa usiku wa kuamkia kesho.

Baada ya wachezaji kupata msosi ni mapumziko, halafu itakuwa ni safari ya kwenda uwanjani kupambana kwa ajili ya Wanayanga na Watanzania. 

KIKOSI:
1: Deo Dida 
2: Mbuyu Twite
3: Oscar Joshua
4: Kelvin Yondani
5: Vicent Bossou
6: Thabani Kamusoko
7: Simon Msuva
8: Harouna Niyonzima
9: Donald Ngoma 
10: Hamic Tambwe
11: Deus Kaseke

BENCHI:
- Ally Bathez
- Mwinyi Ngwali
- Pato Ngonyani
- Antony Matheo
- Juma Makapu
- Godfrey Mwashiuya


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV