June 6, 2016


Wakali wawili wa soka na mpira wa kikapu wamekutana na kuonyesha ushirikiano ni jambo jema.

Mshambuliaji wa Barcelona na Brazil, Neymar pamoja na nyota wa mpira wa kikapu katika timu ya Golden State Warriors ya Marekani, Steph Curry wamekutana na kubadilishana jezi.


Neymar yuko nchini Marekani kwa ajili ya michuano ya Kombe la Copa America.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV