June 6, 2016Uongozi wa Yanga umefanikiwa kukabidhi barua na viambatanishi inavyoamini ni sehemu ya hujuma kwa uongozi huo chini ya Mwenyekiti Yusuf Manji.

Mkuu wa Habari na Mawasiliano ambaye ni Msemaji wa Yanga, Jerry Muro amekabidhi barua na viambatanishi zikiwemo sauti ambazo zinatuhumiwa kuwa za aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Alloyce Komba.

Hatua kwa hatua kwa Muro akiingia makao makuu ya Takukuru Upanga jijini Dar es Salaam hadi kukabidhisha nyaraka hizo, ilikuwa hivi;


BAADA YA KUKABIDHISHA NYARAKA...

OFISA WA TAKUKURU AKIZUNGUMZA

MURO AKIZUNGUMZA.... 
AKIWA ANAONDOKA TAKUKURU...

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV