June 5, 2016


Mshambuliaji nyota wa Arsenal, Olivier Giroud amesema anafurahi kusikia mshambuliaji nyota wa mabingwa wa England Leicester City, Jamie Vardy anataka kujiunga na Arsenal.

Giroud aria wa Ufaransa amesema anaamini kama Giroud atajiunga na Arsenal watasaidiana kupamba vilify na kufanikisha Arsenal ifanye vizuri na kubeba ubingwa.


Tayari kumekuwa na taarifa juhudi za Arsenal kupambana kumpata Vardy ambaye alikuwa msaada mkubwa wa Leicester kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV