June 8, 2016


Hatimaye Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amekamilisha alichokuwa anakitaka baada ya kumsajili beki Eric Bailly tai a wa Ivory Coast.


Bailly aliyekuwa anakipiga Villarreal au Manyambizi wa Hispania, ana umri wa miaka 22 tu na Man United imemwaga pauni million 30 kumpata katika mkataba wa miaka minne.

TAKWIMU:
Espanyol B (2013-14) – Mechi 21
Espanyol (2014-15) – Mechi 5,
Villarreal (2015-) – Mechi 46, bao 1 
Ivory Coast (2015-) –Mechi 15 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV