June 20, 2016


Soka raha sana. Mashabiki wa Iceland ambayo nchini yao si maarufu sana katika mchezo wameamua kuhamia nchini Ufaransa kwa muda.

Mashabiki wapatao 40,000 wako nchini Ufaransa kuiunga mkono timu yao ya taifa inashiriki michuano ya Euro 2015.


Kinachovutia zaidi, watu 40,000 tu ni robo ya wananchi wote wa Iceland na wote wameona waende wakaiunge mkono timu yao ya taifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV