June 30, 2016Mshambuliaji nyota wa Zenit St Petersburg, Hulk ametua Shanghai SIPG kwa dau nono la pauni milioni 48.
Raia huyo wa Brazil, amevunja rekodi ya uhamisho iliyokuwa inashikiliwa na Alex Teixeira aliyesajiliwa Jiangsu Suning akitokea Shakhtar Donetsk, Februari, mwaka huu.


REKODI ZAKE:
2004: Vitoria Games 2 Goals 0
2005: Kawasaki Frontale Games 12 Goals 3
2006: Consadole Sapporo Games 41 Goals 26
2007: Tokyo Verdy Games 42 Goals 37
2008: Tokyo Verdy Games 14 Goals 8
2008-2012: Porto Games 170 Goals 89

2012-2016: Zenit Games 144 Goals 750 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV