June 30, 2016


Stand United imetanda kumuongeza mkataba wa miaka miwili, Haruna Chanongo lakini imeongeza wachezaji wengine wapya wakiwemo kutoka nje ya Tanzania kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

Orodha kamili ya wachezaji hao, namba wanazocheza na timu walizotoka ni:-

Yusuph Sabo(Coastal union) anacheza namba 10,8,9..
Hassan Mpilipili (Toto Africans) anacheza namba 4,5,6.
Jerome Sina(Rayon Sports ya Rwanda) anacheza namba 9.
Nurdin Mganga(Mgambo Jkt) anacheza namba 5.
Benedictor Jacob(Lupopo fc-Congo) anacheza winga.
Hassan Salum(Coastal union).
Mussa Kirungi(Toto African) anacheza kama kipa.
Saleh Abdallah(Kagera Sugar) anacheza namba 2.
Jamal Mchauro(Azam fc) anacheza namba 9 au 10.. 
Sami Ally Nuhu(JKU-Zanzibar) anacheza namba 3.
Fehi Abdulrahman(Mafunzo-zanzibar) anacheza namba 8...
Hassan Salum(Simba SC)
Zablon Anatai(Kagera Rangers),
Najim Salum(Changanyikeni fc)Kikosi cha Stand United kitaingia katika kambini rasmi Julai Mosi jijini Dar es Salaam.

Imetolewa na 
ALEXANDER SANGA 
MKURUGENZI WA HABARI NA MAWASILIANO 

STAND UNITED COMPANY LIMITED 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV