June 9, 2016


Pamoja na uwezo mkubwa wa kupigana ulingoni, Muhammad Ali alikuwa ni mmoja wa bindamu mwenye maneno mazuri ya kujenga.

Mazishi ya bondia huyo yanatarajia kufanyika kesho, nchini Marekani ni yale aliyosema hivi:


“Mwanamume anayeishi katika dunia katika kipindi cha umri wake wa miaka 50 sawa na alivyokuwa na miaka 20, basi ajue amepoteza miaka 30.”

TAFAKARI

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV