June 23, 2016


Patrick Kahemele anatarajia kuchukua kiti cha katibu mkuu wa klabu ya Simba.

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya klabu ya Simba zimeeleza, mazungumzo kati ya Kahemele aliyewahi kufanya kazi na Azam FC na uongozi wa Simba ni kama yamekamilika.


“Naweza kusema mazungumzo kwa sasa ni asilimia tisini na tano, hivyo tuamini atakuwa katibu mkuu mpya,” alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV