June 20, 2016Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo ndiye mwanasoka mwenye rekodi mbovu ya upigaji faulo.

Ronaldo anaonekana hajawahi kufunga bao la faulo katika mechi za Euro 2016 licha ya kwamba amepiga mikwaju 34.


Kawaida Ronaldo anaonekana ni kati ya wapigaji hatari wa mipira iliyokufa, lakini anaonekana ameshindwa kufanya vizuri kwenye Euro.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV