June 14, 2016Mshambuliaji nyota wa zamani wa Barcelona na Chelsea, Samuel Eto'o hatimaye amemuoa mpenzi wake na mama watoto wake wa siku nyingi.

Eto’o amefunga ndoa na Georgette Tra Lou katika sherehe iliyofana na kufanyika katika eneo la Stezzano nchini Italia.

Mmoja ya waliohudhuria katika ndoa hiyo ni nahodha wa zamani wa Barcelona, Cares Puyol akiwa na mkewe.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV