June 24, 2016


Tottenham imemwaga pauni million 11 na kufanikiwa kumnasa kiungo Mkenya ambaye ni nahodha wa Harambee Stars,Victor Wanyama.

Wanyama aliyekuwa akikipiga Southampton ya England pia aliyojiunga nayo akitokea Celtic ya Scotland mwaka 2013, amesisitiza kuwa na furaha.

“Nina furaha kubwa kujiunga na Spurs, moja ya timu bora kabisa duniani,” alisema Wanyama mwenye umri wa miaka 24.


TIMU:
2008-2011: Beerschot
2011-2013: Celtic
2013-Present: Southampton 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV