July 14, 2016


Baada ya kuiwezesha Ureno kutwaa taji la Euro kwa mara ya kwanza, Cristiano Ronaldo ameamua kula bata kama sehemu ya mapumziko.

Lakini ameonyesha yeye ni mtu wa familia baada ya kuichukua familia yake tote akiwemo mama yake mzazi Maria Delores na mwanaye pekee, Cristiano Jr.

Kama hiyo haitoshi kawachukua ndugu wengine pamoja na kaka yake, mke wa kaka yake, mtoto wao na wengine ili wale raha pamoja katika eneo la starehe pwani ya Ibiza.1 COMMENTS:

  1. Kweli wazungu balaa,yaani unakaa nyuma ya mama yako mzazi aliyevaa chupi tuu,duuh!Kwa Africa ingekuwa kituko hicho!

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV