MECHI YA KIRAFIKI TU VS WIGAN, SURA YA MOURINHO NDIYO HIVI, PREMIER LEAGUE ITAKUWAJE? HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SURA YA KOCHA JOSE MOURINHO KWA KIPINDI TOFAUTI WAKATI AKIWAONGOZA VIJANA WAKE KATIKA MECHI YA WIGAN LEO. ILIKUWA MECHI YA KIRAFIKI LAKINI MUONEKANO WA MOURINHO ULIKUWA HIVI. KWENYE LIGI ITAKUWAJE? KAZI IPO.
0 COMMENTS:
Post a Comment