TAKWIMU ZA MWISHO KATI YA YANGA DHIDI YA MEDEAMA, MECHI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AMBAYO IMEISHA KWA SARE YA BAO 1-1 KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
WOTE TULISHUHUDIA HIYO MECHI, HIZO TAKWIMU NI ZIMEKAA KIMAHABA ZAIDI, KWA JICHO LA MBALI TU, DIDA ALIOKOA MICHOMO ZAIDI YA 5 AMBAYO NI ON TARGET, MEDEAMA WALIPIGA MPIRA MWINGI SANA HASA KIPINDI CHA PILI YANGA WALIKUWA HOI WAKIOMBEA REFA AMALIZE MPIRA, YANGA WALIANZA KWA KASI NA DK 30 TU WAKAANZA KUCHOKA.

ReplyDelete